kwamamaza 7

Kuolewa na raia wa Rwanda haimaanishi kupata utaifa

0

[ad id=”72″]

Wakimbizi wanaruhusiwa kuyafanya wawezayo kwa kuishi vizuri katika familiya ya Rwanda, vile wakioana wao kwa wao bila shaka, ila yeyote ambaye huolewa na munyarwanda haimaanishi kwamba yeye atapewa utaifa wa Rwanda.

Jumuia ya familiya kwa kusaidia sheria imesema waziwazi yale ambao wakimbizi hupata bila tatiza na mengine ambao hupata kwangazi ya chini kupitia nzia isio halali na wengine huwaza kama ni sherti wafanyiwe yote wanayo yahitaji.

Hayo yote yalitangaziwa wakimbizi kutoka DRC wenye kuishi mji mkuu wa Rwanda Kigali kwa yale ambao wanaruhusiwa, wakagusiya kuoa na kuolewa na raia wa Rwanda, kupata utaifa wa Rwanda kuna njia sahihi ya kupitia ili uupate, si kusema kwamba umeolewa na munyarwanda hapo hapo umepata utaifa, la sivyo.

Wakimbizi wanaruhusiwa kuolewa na kuoa wakiwa nchini Rwanda na kuandikiwa katika vitabu vya sheria ya Rwanda bila kuwabagua kwa aina yoyote.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.