kwamamaza 7

Kundi la mziki la Dream Boyz laibuka washindi wa PGGSS Season 7

0

Saa za saa nne za usiku wa Jumamosi ya tarehe 24, ndipo maMC wa tamasha hilo walipomtangaza mshindi wa Primus Guma Guma Super Star musimu wa 7 ambao ni kundi la Dream Boyz.

Kundi hili ambalo limeshinda taji hili limetunukiwa dau la milioni 24 huku likiwapiku Christopher na rappa Bull Dogg ambao wameshika nafasi 3 mtawalia. Christopher wa pili alitunukiwa milioni 4.5 ya faranga za Rwanda na Bull Dogg milioni 4.

 

Vigezo mojawapo vya kushinda taji hili ilikuwemo alama kutoka wafuasi wa muziki waliokuwa wakichagua wasanii hawa kupitia mtandao na hata kwenye njia ya simu za mkoni na hata jinsi walivyofanya katika tamasha za kuzunguka sehemu mbalimbali za nchi.

Wasanni wa kundi hili ndio waliokuwa wa kwanza miongoni mwa wenzake 10 ambao walikuwa washindani. Orodha hii hapa chini.

  1. Dream Boys
  2. Christopher
  3. Mico The Best
  4. Bull Dogg
  5. Queen Cha
  6. Oda Paccy
  7. Social Mula
  8. Active
  9. Danny Nanone
  10. Davis D

Kundi hili lashinda taji hili baada ya kushiriki mara 6 bila kushinda ingawa kwa mara ya 6 hawakushiriki katika mashindano haya.

Kundi hili lashinda taji la PGGSS season7 baada ya Tom Close aliyekuwa mshindi wa kwanza, King James aliyeshinda kwa season 2, Riderman season ya 3, JayPolly 4  ya  knowless ya 5, na ya 6 Urban Boyz huku Dream Boys wakawa washindi wa mwaka huu.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.