kwamamaza 7

Kuna matumaini kwamba changamoto kadhaa za Afrika Mashariki zitapata suluhisho-Dkt.Kayumba

0

Mwalimu wa chuo na mchambuzi wa mambo ya siasa za kimataifa,Dkt. Christopher Kayumba ametangaza kuwa kutakuwa mwanga wa matumaini kwa changamoto kadhaa zilizomo kati ya nchi zinazounda Afrika mashariki.

Akizungumza na Bwiza.com Dkt.Kayumba ameleza kuwa kuna vikwazo mbalimbali katika nchi zinazo unda Afrika mashariki kama vile kutoelewana kati ya Rwanda na Uganda,migogoro ya kiuchumi kati ya Kenya na Tanzania kisha suala la Burundi na Rwanda na kuongeza kwamba kuna imaani kuwa kutatolewa suluhisho.

Kuna changamoto kadhaa kwa nchi za Afrika Mashariki,ila kuna matumaini kwamba muungano utavumilia,hatimaye matatizo yatapata suluhisho”amesema Dkt.Kayumba.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya, vita baridi kati ya Rwanda na Uganda juu ya upelelezi,kutotimiza ahadi ya miradi mbalimbali ya miundo mbinu na kuwatesa wakimbizi na mengine,migogoro kati ya Tanzania na Kenya baada ya Tanzania kuchoma kuku waliowasilishwa nchini na kufukuza wafugaji,asili yaKenya.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pengine kuna kutoelewana kulikodumu kati ya Rwanda na Burundi baada ya Burundi kushtaki Rwanda kuwaunga mkono waliotaka kupindua serikali ya Rais Nkurunziza mwaka 2015.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wangaalizi wanasema kwamba Afrika mashariki imeisha kuwa vipande viwili,wanasema haya kwa kuwa kuna miradi ambayo hufanywa na nchi shiriki fulani wakati ambapo nchi nyingine zinaenda goigoi kutia kivitendo kama vile matumizi ya vitambulisho vya kusafiri,jambo ambalo Burundi na Tanzania zilipiga marufuku.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

  

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.