kwamamaza 7

Kumepatikana kilo mbili ya dhahabu kwenye mpaka wa Rwanda na Congo

0

Tarehe 27 Mach 2017, kwenye mpaka wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Rwanda kumepatikana kilo mbili ya dhahabu kama vile hutangazwa na mahakama makuu ya Congo.

Likoko Bangala, mwendesha mashtaka mkuu wa mahakama ya Bukavu, jimbo la Kusini alisema ya kuwa dhahabu hio ilipelekwa katika benki kuu ya Congo wakati upelelezi huendelea kuhusu  ufanyaji wa biashara hio isiyo halali kama vile husema radio Okapi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Radio Okapi huendelea na kusema kwamba dhahabu hio niya mtu ambaye hufanya uchimbaji wa mawe ya asilia sehemu hio alitamani kuivusha mpaka katika njia haramu na ndipo katiwa mbaroni na maofisa wawili wa Congo wahusika na uendesha mashtaka.

Mji wa Bukavu ambapo walikamatia dhahabu ikitafuta kusafirishwa kwenda Rwanda ni mji jirani na wilaya ya Rusizi jimbo ya Mangharibi, nchi Rwanda.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.