kwamamaza 7

Kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi itakumbuka mara ya 23

0

Kumbukumbu ya mauaji ya Kimbari ya Kigali itafanya tendo ya kukumbuka mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi mara ya 23. Kwenye tendo kutakuwepo wageni 400 pakiwemo waheshimiwa kutoka mahali tofauti na wenye kuwakilishi jamii kimataifa, jamii za wanusra wa mauaji ya Kimbari na waakilishi wa jamii kuwania wanusra.

Tendo la kumbukuka katika nchi, lilianzishwa na kuwasha mwangaza ikimaanisha nguvu na usamini wa Wanyarwanda kwa muda wa miaka 23 baada ya mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi.

Katika kipindi hiki cha ukumbusho, katibu mtendaji wa kituo cha nchi kwa ajili ya kupiganisha mauajiya Kimbari Dr Bizimana Jean Damascene, anatoa uito kwa Wanyarwanda na marafiki wa Rwanda kupiganisha itikadi ya mauaji ya Kimbari.

Malezi ni moja ya silaha ya kupiganisha itikadi ya mauaji ya Kimbari. Kama mahali ya ukumbusho na kutoa mafundisho kuhusu historia ya Rwanda, Kumbukubu ya ukumbusho ya Kigali hutia nguvu kwa kufundisha watu ubaya wa mauaji ya Kimbari na mauaji mengine kupita kiasi kwa niaba ya kuzuia ili isikuwepo kamwe.

Katika siku 100 ya kukumbuka, tunaomba wataoelekea ukumbusho kuacha ujumbe katika kitabu ya wageni kwa niaba ya kuwakumbuka walio uawa katika mauaji ya Kimbari na kuwaongeza nguvu walio nusurika.

Ukumbusho wa mauaji ya Kimbari ya Kigali papo miili ya watu zaidi 250.000 walio uawa katika mauaji ya Kimbari dhidi ya Watusi. Kupitia ombi la gavana wa mji wa Kigali, Ukumbusho ulijengwa na Aegis Trust mwaka wa 2004 na ni wao wanaohusika kwa kuchunga kwa jina la kituo cha nchi cha kupiganisha mauaji ya Kimbari kama mahali pa kukumbuka na kufundisha historia. Kila mwaka kwenye ukumbusho hufika watu zaidi ya 100.000.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kumbukumbu la Ukumbusho huwa na sehemu tatu, sehemu kubwa ikiwa ni ufahamu wa historia ya mauaji ya Kimbari dhizi ya Watusi mwaka wa 1994, sehemu ya kuwakumbuka watoto waliouawa katika mauaji ya Kimbari, na sehemu ambayo huonyesha historia ya mauaji ya Kimbari yaliyo fanyika katika nchi zingine. Kuna sehemu zingine za kufundishia historia kupitia teknolojia, bustani na mahali palipo zikwa miili ya walio uawa katika mauaji ya Kimbari. Sehemu hizo zote hutoa mafundisho kwa kila mtu ambaye hutembelea kumbukumbu la ukumbusho.

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.