kwamamaza 7

Kuku na mayai kutoka Uganda havikubaliwi Rwanda

0

Wizara ya ukulima inajulisha raia wa Rwanda kua magonjwa ya mafua ya ndege imepatikana Entebe na Masaka nchini Uganda.

Hata kama magonjwa hao ya mafua ya ndege kupatikana katika nchi jirani, pia hupatikana Ulaya katika nchi za Ufaransa, Hongria, Ujerimani na pengine.

Kwa kuzuia magonjwa hayo, waziri wa ufugaji ametoa tangazo linalo toa uito kwa raia wa Rwanda na kuzuia ili magonjwa yasifike Rwanda, na kukataza kufanya biashara ambavyo huweza kusafirisha magonjwa, pia ufanyaji biashara kwa usafirisaji wa kuku, mayai na nyama za kuku kutoka Uganda na katika nchi za Ulaya ambao husemwa kuwa na magonjwa hayo kusimamishwa kwa muda.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Waziri aliomba wanaohusika na mipaka ya nchi pia ngazi za usalama  kutia mkazo kwa maamzi hayo ili kuzuia usafirisaji wa magonjwa ya mafua ya ndege.

Pia aliwaomba wafugaji kulinda ufugaji wao, wakilinda kuchanga ufugaji wa kuku na mengine mafugo, wakiwa na usafi katika ufugaji wao. Sherti wafugaji kutumia dawa mbele kuingia katika mafugo yao.

Kwa mawasiliano mema, asema kama kuna mtu ambaye anaona ndege karibu tanu zimekufa anaweza kupigia simu zifuatazo kwa kusaidia 0738503589 ao 0732022287.

Alama za magonjwa hao ni kuvimba kichwa, shingo, kupumua vibaya na mengine.

Wazizi wa ufugaji nchi Uganda, tarehe 2 Januari 2017 ndipo alisema kuwa karibu ya bahari Victoria karibu ya Entebbe kumeonekana ndege nyingi ambazo zilikufa. Juma pili tarehe 15 Januari ndipo walitangaza kua ndege hizo zilikufa na magonjwa ya mafua nchini Uganda.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.