Utata umezuka mitandaoni baada ya Zari Hassan Tlale kuandika kosa kwenye ukuta wake wa Instagram.

Kwa kuwatakia wafuasi wake pasaka njema Zari ameandika katika Kiingereza alipoandika “ Being” badala ya “Bring”.

Zari ameandika “Thank you @kattycollection these kimonos have been the best things I packed for the Dubai heat. Most of all, they (beingbring out the woman in me. I like” read her post.

Alichoandika Zari

[xyz-ihs snippet=”google”]

Baada ya hili,wafuasi wake wametoa maoni yao kwa kumkosoa punde si punde amerekebisha kosa.

Kwa sasa Zari angali mjini Dubai pamoja na wanawe,ndugu na marafiki kwa mapumziko.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.