Swahili
HABARI MICHEZO

Kombe la mabara: Timu moja wapo zatolewa huku nyingine zikiendelea kwenye nusu fainali

Wikendi hii imekuwa ni siku ya tatu ya michezo ya Kombe la Shirikisho la Mabara ambapo tumeshudia timu mojawapo zikitolewa katika kombe hilo na nyingine zikeendelea kwenye nusu fainali ya kombe hilo.

Jumamosi kulipigwa mechi mbili za kundi A ambapo Portugal imewanyeshea New Zealand 4-0 na Mexico wakiwachapa wenyeji Russia 1-0.

Katika kundi hilo Portugal imemaliza na alama 7

Mexico alama saba ikishindwa na Portugal kwa tofauti ya mabao

Russia wenyeji na alama 3

Na New Zealand ikiwa na bure.

Nayo jumapili kulikuwa ni zamu ya timu za Kundi B

[xyz-ihs snippet=”google”]

Ambapo bingwa watetezi wa Kombe la Dunia Ujerumani imewacharaza Kameruni 3-1 na katika mechi nyingine ya Kundi hilo Chile ikimaliza sare ya 1-1 na Australia

Timu ya Ujerumani ndio iliyomaliza ya kwanza na alama 7 na itaikabili Mexico katika nusu fainali na Chile ambayo imekuwa ya 2 katika kundi lake kutaikabili Portugal.

Fainali itapigwa Jumapili tarehe mbili Juni.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

 Richard Wa Billy

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com