Tangazo lilitolewa na kituo kinacho husika na kodi na ushuru (Rwanda Revenue Authority), jumanne tarehe 28 Mach 2017 huondoa kodi na ushuri kwa ajili ya wakulima na wafugaji wanaoleta mambo yao sokoni.

Tangazo hilo husema kwamba mtu anaye lipa kodi ni mtu ambaye yupo nafasi ya kufanyia biashara yake sokoni, ni kwa hiyo hali ni watu ambao huja na mafugo au mavuno katika soko zilizo karibu nao kuuza na wenye kufanya biashara siku kwa siku hawatalipa kodi wala ushuru ya sokoni.

Wahusika na tangazo hilo sherti walitiye katika matendo:

rra-1

Wanaopendelea bwiza.com iwatembelee na kuwatangazia habari kwenye bidhaa vyao wanaweza kutumia ujumbe kwenye barua pepe ya meckypro@gmail.com, ama wapigie simu kwenye nambari ifuatayo: 0784685981.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.