kwamamaza 7

Kizito Mihigo aeleza “sitaki jina langu kutumiwa na wapinzani wa serikali ya Rwanda”

0

Muimbaji Kizito Mihigo amewataka wapinzani wa serikali ya Rwanda kuacha kutumia jina lake katika shughuli za za kiasa.

Tangazo la shilika lake tarehe 28 mwezi Juni linaeleza  Kizito mwenyewe amesema hataki hili kwani ana lengo tofauti na lao.

Tangazo limeeleza “ Kwa ombi la muimbaji Kizito mwanzilishi wa Kizito Mihigo Foundation tumewakomesha wanasiasa kutumia jina la Kizito katika shughuli zao za kuipinga serikali ya Rwanda”

“Kizito si mwanasiasa,hana chama cha siasa na hawanii utawala” tangazo limeongeza”

Hata hivyo, wapinzani wameeleza hawatakoma kupiga mayowe kwa niaba ya wafungwa wa siasa.

Kizito Mihigo alifungwa mwaka 2015 kwa mashtaka ya kulenga kufanyia maovu serikali na kuungana mkono na wapinzani  wa serikali wakiwemo RNC.

Fred masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.