kwamamaza 7

Kituo cha ushuru Rwanda wamekamata pombe za mfanya biashra Nkusi Godfrey

0

Kituo cha nchi kinacho husika na kodi na ushuru leo juma tano wametangaza ya kuwa wamekamata bokse 695 za pombe ambazo mfanya biashara Nkusi Godfrey bila kutoa ushuru, ila mfanya biashra yeye husema ya kuwa ni bokse 90 ambazo hazikutoa ushuru.

Pombe hizo ni aina ya liquor na mvinyo, kituo hicho RRA husema ya kuwa walijulisha kipande ili biashara nyingine visitolewe ushuru.

Kituo hicho kinazulumu wafanya biashara ambao hawatoe ushuru na ndio sababu katika hazarani bokse hizo za pombe ambazo hazikulipa ushuru.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mfanya biashara anaye julikana mjini Kigali, Nkusi Godfrey, alisema ya kuwa biashara ilikamatwa ni bokse 90 za pombe, pesa ambazo zitalipwa ni miliyoni tatu na nusu na yupo tayari kulipa ili tatizo litatuliwe.

Ila aendelea na kusema ya kuwa kituo kilitangaza zaidi ya yale walio shika bila ushuru.

Mufanya biashara huo amesema ya kuwa hakuna tatizo kubwa kwa kuwa tayari ameongea na RRA ila hawaja jibu lolote.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com.chanzo:umuseke

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.