kwamamaza 7

Kirehe: Joel akamatwa akiwa na mfuko wa bangi

0

Tarehe 25 Disemba Joel Nsabimana anaye shutumiwa usambazaji wa dawa za kulevya sehemu tofauti za nchi amekamatwa na polisi ya Rwanda.

Joel mwenye umri wa miaka 25 alikamatwa akiwa na mfuko wa bangi katani Gatore kama vile husema musemaji wa polisi katika jimbo la mashariki, Inspector of Police (IP) Emmanuel Kayigi.

Akisema “karibu saa nane za usiku alisimamishwa na polisi ambao walikua kazini na ikakuta  yupo na katani na akakamatwa, upelelezi huonyesha kwamba alikua akitoka katika katani Musaza”.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

IP Kayigi amewakumbusha raia wa Rwanda kwamba haitaruhusu kamwe usafirisaji wa dawa za kulevya na kutoa uito ili kuzuia hayo yote na kuwashika wale ambao hujaribu kufanya kazi hio haramu.

Wilaya ya Kirehe hukamatwa kama njia ya usafirisaji wa dawa za kulevya na kupelekwa mahali pengine na huonekana kama hutoka katika nchi jirani. Kila yeyote ambaye husaidia mwenye kuwa na dawa za kulevya naye pia huazibiwa vikali.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.