Swahili
Home » Kirehe: Wamaskini wanaomboleza kwa ajili ya gari walilouza
HABARI

Kirehe: Wamaskini wanaomboleza kwa ajili ya gari walilouza

Wazee wa wilaya ya Kirehe, tarafa ya Mahama wanaomboleza kwa ajili ya gari walilo uza ya aina ya FUSO kupitia pesa za msaada, na baada ya kuuzwa gari hilo halionekane tena na hakuna matukio wanayoyaona

Wakaaji hao wanasema kuwa tangu mwaka wa 1999, viongozi wao wa VUP, waliomba mchango ili wauze gari la kuwasaidia ili kuishi vema na kila mkaaji Hakizamungu Adelte husika alilipa pesa zaidi ya elfu 90.

Raia mmoja alipoongea na mwanahabari ya kuwa waliuza kwa mkazo kwa sababu si kila mtu ambaye aliona mavuno yatakayo toka katika gari hilo, tuliamriwa kutoa mchango. Wakaaji wanasema ya kuwa baada ya kuuza gari hilo waliliona mara moja tu, na mpaka sasa hakuna anaye jua iko wapi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Wanasema ya kua umaskini wanaoishi na matokeo ya kuuza gari, kwa kuwa hizo pesa wanegeliuza hata mafungo ili kuwasaidia kutatua shida za maisha.

Wakati wanajaribu kuswali kuhusu gari, viongozi wanawahamakiya na kuwakemea na wanahitaji msaada ili kujua nini haiendelee na wanasema ya kuwa ajulikanaye kwa jina la Claudine aliye kuwa kiongozi wa VUP katika tarafa na kiongozi wa tarafa wakati huo Karambizi, ni wamoja waliopora mali ya matukio ya gari.

Kiongozi wa tarafa ya Mahama kwa sasa Hakizamungu Adelte, anasema ya kua swala hilo la wazee linajulikana na tayari wahusika wameanza fuatiliwa.

Hio misaada ilikuwa ni kwa ajili ya wamaskini ila kwa uwingi wakiwa wazee kwa umri wa miaka, na walikuwa wakipewa ili kuwasaidia kwa maisha ya kila siku.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com