kwamamaza 7

Kirehe: Polisi kupokeza watoto vyombo vya shule

0

Polisi ya Rwanda imewapatia vyombo vya shule watoto wa kilabu ya Imitavu, wanaohusika na uzuifu wa madhambi. Kitendo hiki chatokea wilaya ya Mashaliki, mkowa wa Kirehe, tarafa ya Gahara, jumapili hii, tarehe 22 Janwari 2017, na watoto kupita 100 walifurahia kitendo kiki.

Police/bwiza.com

Hii ilikuwa kutakia watoto hawa mwaka mpya, na Meya wa Kirehe, bwana Muzungu Gerard alikuwepo. Kiongozi huyu alisema kama wakazi wa tarafa ya Gahara hujua umuhimu wa usalama. Bwana Muzungu kasema “Kirehe ni mkowa jilani ya jamhuri ya Tanzania, na wanajuwa jukumu yao kwa kuchunga usalama, na ushirikiano na Polisi kuzuia dhambi”.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Anashukuru Polisi kuwa daima karibu na raia, na wa wototo hao ni mfano kubwa kwa nchi kesho salama. Fulsa hii, Meya Muzungu kaomba watoto kutokata tamaa kwa vitendo vyao, sawa na raia wote kwa ujumla.

Kwa upande wake, ACP Celestin Twahirwa anayeongoza idara ya Polisi inayohusika na ushirikiano na raia kwa usalama, anashukuru watoto hawa kwa ushirikiano wa kuzuia madhambi mwaka jana. ACP Twahirwa kasema “mwaka 2016 mlitenda vema na kuzuia madhambi, na hii inatumainisha mwaka huu mtajikaza kuzidi, tutakua na nyie daima”. Kiongozi huyu kaongeza kwamba hawa watoto walionyesha ushujaa, na watoto nchini kote wangalifuata mfano wao. Aliwapongeza kwa chaguo hili la kushilikiana na Polisi kuzuia dhambi, na hii ni shahada kwamba wakiendelea hivi, Rwanda ya kesho itakuwa mikononi mwao.

police/bwiza.com

Hii ni wakati ya kupokeza watoto vyombo vya shule(vikapu, vitabu na kalamu), na kuwashauri kuwa mfano wa nidhamu masomoni mwaka huu. Wazazi nao wanashukuru Polisi kwa kitendo hiki cha kushirikiana na wototo wao, ni onyesho nchi ya Rwanda ni bola kwa watoto na haki zao.

Miongongo mwa viongozi waliokuwa katika sherehe hii, ni kiongozi wa Polisi mkowani humu, ACP Dismas Rutaganira, makamo wa msemaji wa Polisi ya Rwanda, CSP Lynder Nkuranga, na makamo wa kiongozi wa idara la ushirikiano wa Polisi na raia kwa usalama, CSP Rose Muhisoni, na wengineo.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Karegeya Jean Baptiste

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.