kwamamaza 7

Kiongozi wa tarafa ametoroka baada ya kuzini na bintiDASSO

0

Thomas Niyihaba kiongozi wa tarafa ya Murambi wilaya ya Karongi tangu wiki nenda alikosekana alipo sikia kwamba kumetolea sheria ya kumutia mbaroni kwa kuwa vitambulisho (ADN) vionyesha kuwa alizini na muhusika husema kama alifanyiwa uzinifu kwa mkazo.

Hayo yalifanyika mwaka jana wakati bintiDASSO Donatille Mukandayisenga aliyefanya kazi katika tarafa hio kusema kama alibakwa kwa mkazo. BintiDASSO aendelea na kusema ya kuwa kiongozi huo alimuomba wazini ila akakataa kwa sababu alikua katika mwezi mchafu na wakati huo alikuwa amemkuta nyumbani kwao anapoishi na baba yake mzazi. Alisema pia ya kwamba aliomba kiongozi kutumia condom kwa ajili ya kujilinda ila kiongozi akafanya bila ukingo na ilisemakana ya kuwa yeye ana ukimwi.

Kitendo hicho kilipo malizika binti huo aliita viongozi wa wilaya na kuwaeleza yanayo mfikia na ndipo kiongozi wa Tarafa akarudi na kusema ya kua anakuja tena kufanya kitengo cha ngono ila alimwambia kwamba atamushitaki. Alishika alivyo jipangusa navyo akaviweka na ndivyo kuwa chanzo cha kwendesha mashtaka.

Walichukuwa muda na kwenda kupima ADN nje ya Rwanda, na wiki nenda ndipo majibu katolewa ya kuwa ni ADN za kiongozi huo wa tarafa.

Baada ya hao kujulikana ndipo kiongozi wa tarafa Thomas Niyihaba aliomba kibali kwenda kutafuta matibabu, na barua ya kumukamata ilipotoka walifika kwake nyumbani akakosekana hadi sasa hajaonekana nyumbani kwake hata kazini hata simu yake haionekane.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com,chanzo:umuseke

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.