kwamamaza 7

Kiongozi wa mji wa Kigali ateuliwa

0

Mwanamke kwa jina la Marie Chantal Rwakazina ameteuliwa kuongoza mji wa Kigali baada ya Pascal Nyamulinda kujiuzulu kwenye haya madaraka.

Huyu mwanamke ameteuliwa kwa kura 148 akimzidi mwenzake Me Herniette  Murekatete mwenye kura nane tu.

Murekatete ambaye amewania uongozi wa mji Kigali

Diwani mpya wa mji wa Kigali alisomea chuo kikuu cha Rwanda ambako alifundisha tangu mwaka 2000-2008.

Kabla ya kuteuliwa,Rwakazina  alikuwa  mmoja mwa wafanayakazi wa Umoja wa Mataifa (YUNA) tangu mwaka 2013

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.