Jana tarehe 22 Mach 2017, rais Paul Kagame alipokea kiongozi wa Benki ya Ulimwengu Jim Yong Kim, na kiongozi huo akahakikisha kuwa Rwanda hutumia vema misaada inayo pewa.

Baada ya kupokelewa na rais wa jamhuri ya Rwanda, alizungumza na wanahabari alisema ya kuwa maongezi yao palikuwemo ushirikiano mwema kama kawaida kati ya Benki anayo ongoza na Rwanda.

Alisema ya kwamba Benki ya Dunia itaendelea kusaidia Rwanda katika ngazi tofauti na mradi ya maendeleo, na alishukuru maendeleo ya Rwanda katika ngazi tofauti.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waziri wa uchumi Amb. Gatete Claver, alisema ya kuwa viongozi hao wawili walizungumzia pia hazina ya Benki ya Dunia na Rwanda, kwa kuwa pia walipatia Rwanda biliyoni 38 ya deni itakayo lipwa na faida ndogo.

Pesa hizo zitasaidi kwa ajili ya maendeleo ya ukulima na ufugaji, hapo ni baada ya Benki kuchunguza ya kuwa Rwanda hutumia vema misaada wanayopewa.

Jim Yong Kim kabla ya kufika Rwanda alikuwa ametoka Tanzania na aliwakubalia biliyoni 2 zitakazo saidia kwa maendeleo ya ngazi za msingi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.