Swahili
HABARI MPYA

Kiongozi wa Benki kuu ya Dunia amesifu Rwanda kutokana na Teknolojia

Katika ziara yake hii leo Jim Yong Kim  amesifu Rwanda kutokana na jitihada za Teknolojia, ambapo amesema kuwa ndiyo mara ya kwanza kuona ndege ndogo zisizo kuwa na Rubani maalufu kama “Drones” ambazo zinatumiwa kwa kusafirisha damu kwa wagonjwa walio mahututi kwa kukosa damu mwilini.

Kim  ameshangaa na kusema kuwa  teknolojia  ya kutumia Drone hizo  kwa kusafirisha damu  kwa wagonjwa, ni ishala ya kuwa Rwanda imepiga hatuwa kiteknolojia.

Hay Kim  ameyataja wakati ambapo  aripo kizuru kituo cha ndege hizo zisizo kuwa na Malubani  kilichoko Wilayani  Muhanga hii leo 21 March 2017.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Katika hafla hizo, Kim  amejaribu  kutumia ndege hizo   pia na kwenda kuangalia zinavyo peleka kwa haraka damu hizo kwa wagonjwa, ambapo ameshangaa sana na kusema kuwa hakuna mahali pengine  duniani  ambapo alipo ona Teknolojia hiyo ya kisasa isipo kuwa Rwanda.

Kiongozi huyo wa Benk kuu ya dunia amesema kuwa  amepata somo na pia hata kwa watu wengine kuiga mfano wa Rwanda kutumia Teknolojia kwani inasaidia  kutowa msaada wa haraka  kwa wagonjwa walioko mahututi kupada damu kwa haraka na kisha kuokoa maisha yao.

Nabadae Kim ameweza kufanya mazungumzo na wafanyakazi katika Wizara ya Afya, Wizara ya Teknolojia ambayo wizara hiyo ndiyo yenye majukumu ya kutumia ndege hizo zisizo kuwa na Marubani.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

John Bagabo@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com