kwamamaza 7

Kiongozi mkuu wa Polisi ya Italia ametembelea Rwanda

0

Tarehe 24 Februari 2017 kiongozi mkuu wa polisi ya Italia (Carabinieri) Lt. Gen. Tullio Del Sette alitembelea Rwanda kwa ajili ya kuhamasisha uwasiliano mwema na maendeleo ya usalama kati ngazi hizi mbili.

Katika maongezi ya Lt. Gen  Tullio Del Sette na mwenzake wa Rwanda, Emmanuel K. Gasana  yalifanyiaka kwenye kikako cha polisi ya Rwanda Kacyiru.

Katika maongezi palikuwa viongozi wakuu wa Polisi makamu, anayehusika na matendo, DIGP Dan Munyuza, anaye husika na uongozi na wafanyakazi DIGP Juvenal Marizamunda, mwakilishi wa Itali nchini Rwanda, Domenico Fornara, balozi wa Rwanda nchini Uganda Frank Mugambage,  mwakilishi wa Rwanda Italia Enrico Lalia Morra.

Baada ya kupokea Lt. Gen. Tullio Del Sette na wenzake, , IGP Gasana eti,” maamzi ya kutembela polisi ya Rwanda inahamasisha mkataba wa kusaidiana ulio sainiwa siku nenda, umoja huu ni nguzo ya uhusiano kati polisi ya nchi zetu mbili”.

[xyz-ihs snippet=”google”]

IGP Gasana alimwambia mwenzake wa Italia ya kuwa polisi ya Rwanda imefurahia ziara ya balozi Domenico Fornara alio yifanya kwenye kikao cha polisi kikuu cha Rwanda siku nenda, na waliongea mambo tofauti ya mawasiliano.

Lt. Gen Tullio Del Sette yagize eti,”Rwanda ni nchi ya mfano bora katika ngazi tofauti, ngazi ambayo Rwanda inafikia siku za leo ni kutokana na maelekezo mema pamoja na uongozi, kwa hayo tuliamua kuwasiliana na polisi ya Rwanda kwa ngazi tofauti”.

Mkataba wa mawasiliano kati ya Rwanda na Italia ilitiwa saini mjini Roma mwezi nenda wakati IGP Gasana alitembelea nchi hio katika ziara ya kazi.

Ijapokuwa mkutano na viongozi tofauti, Lt Gen.  Tullio Del Sette alitembelea pia ardhi ya wanyama ya Birunga pamoja na kumbukumbu ya ukumbusho ya mauaji ya Kimbari dhidi ya watusi Kigali na kuwaheshimu walio poteza maisha katika mauaji ya Kimbari.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.