kwamamaza 7

Kiongozi anaye waacha raia kujenga nafasi mbovu yeye ni kama jambazi– Maj Gen Muganga

0

[xyz-ihs snippet=”google”]

Maj Gen Mubarakh Muganga kiongozi wa jeshi mjini Kigali na jimbo la Mashariki amesema kwamba viongozi ambao warusuhu wakaaji kujenga mahali pabaya ambapo huweza kuharibu maisha yao wao hulinganishwa na majambazi, ingelikuwa sheria inakubali waweza kuazibiwa kama majambazi.

Ilikuwa katia mkutano mpana wa viongozi wa wilaya ya Kichukiro, na walikutania Gikondo jumapili ili kuyaona waliyo yafikiya nay ale ambayo wanatarija kuyafanya siku za usoni na kuyaonyesha waziri wa utawala wa nchi  Francis Kaboneka.

muganga

Maj Gen Muganga aliwakosoa viongozi ambao hawajali kulinda afya ya wakaaji na kuwaacha ili kujenga nafasi ambapo hapakubaliwi.

Kigali imejengwa kwenye milima mirefu na wakati wa mvua nyingi mambo mengi huharibika na maisha ya wengi huingia katika shida kupitia majenzi mabaya, kwa siku nenda watu 3 walifariki kwa kuwa mvua ilinyesha kwa uwingi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Maj Gen Muganga amesema pia ya kuwa hakuna mtu ambaye anaweza kupoteza maisha kupitia makosa ya uongozi mbaya ulio waacha kujenga mahali pabaya, kiongozi kama huo anastahili kuazibiwa.

Dr Jeanne Nyirahabimana amewakosoa pia viongozi wa ngazi za msingi na wengine watalamu tena wenye pesa kwa kuwa wanaharibu sheria na kupita kando ya sheria ya majenzi wakisema wao ni wenye cheo.

Waziri Francis amerudiria aliyo yasema Dr Nyirahabimana ya kuwa kuna viongozi wanaojenga nafasi mbovu, majenzi kama hayo hayaambatane na maendeleo ya nchi.

Mkutano huu ulikuwa wa ngazi tofauti kama viongozi wa wakaaji, uongozi wa jeshi, uongozi wa polisi wa wilaya ya Kicukiro.

Hesabu huonyesha ya kuwa watu wapatao 310.661 ndio wanao ishi katika wilaya ya Kicukiro.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.