Kijana kwa jina la Ntirenganya   jana tarehe 2 Meyi 2018 usiku alipigwa risasi na wanajeshi wa Rwanda akiajaribu kuvuka mpaka kati ya Rwanda na DR Congo tarafa ya Busasamana wilayani Rubavu akiwa na kifuko cha bangi.

Katibu Mtendaji wa tarafa ya Busasamana,Epimaque Bizimana amehakikisha hizi taarifa kwamba huyu alikuwa na wenzake wawili ambao waliweza kutoroka wakibeba kifuko kimoja cha bangi na kuacha vingine viwili.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Tumejaribu kumpigia Mseamji wa Jeshi la Rwanda kueleza kuhusu tukio hili lakini hakupatikana.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

 

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina