kwamamaza 7

Kijana alizini na mama mzazi akamutwika mimba

0

Mwanamke mwenye ukoo wa Zimbawe alifafanua jinsi alimpenda mtoto wake wa kiume, wakafanya ngono ama kitendo cha mapenzi na mwisho wakaamua kuishi kama mke na mume.

Mke huyo ambaye alichukua mimba ya mtoto wake kijana, alisema baada ya kufa kwa mume wake ingelimulazimu kuishi na shemegi wake ndugu ya marehemu ila hakufurahia na ndipo akaamua kuishi na mtoto wake wa kwanza kijana.

Mama ajulikanaye kwa jina la Betty Mbereko ana umri wa miaka 41 na mtoto wake wa kiume Farai Mbereko ambaye ndie sasa mume wake ana umri wa miaka 23.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Betty  aliendelea na kusema kua anashukuru kuwa mume wake marehemu anafanya miaka 13 akifariki, tena husema ya kuwa shemeki wake walihitaji kuzini naye bado mume wake kufariko, kwa hayo hakuwapenda na ndio sababu aliamua kuishi na motto wake wa kiume.

Kabla ya mambo mengi kwa wajirani hata wakitafuta kumupeleka mahakamani, wahusika wakasema ya kuwa ni haki yao kuyafanya wapendayo.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.