kwamamaza 7

Kijana alifufuka walipokwenda kumuzika

0

Kumar Marewad ni kijana mwenye umri wa miaka 17 mwenye ukoo wa India aliamka wakiwa njiani kwenda kumuzika kwa sababu jamii lake waliona ya kuwa alifariki baada ya kuumwa na mbwa na sumu ikamuua.

Mwezi nenda ndipo aliumwa na mbwa na akachukuliwa hospitalini akiwa tabani na kusaidiwa kupumua kama vile gazeti la India times husema.

Hali yake iliendelea kuwa mbaya na wiki nenda ndipo muuguzi kawaambia jamaa yake ya kuwa akitolewa vyombo ambavyo vinamusaidia kupumua atafariki kwa sababu sumu ya mbwa imesambazwa mwilini.

Jamii yake iliamua atolewe vifaa vinavyo musadia kupumua kwa kuwa hawataendelea kulipa pesa za mtu ambaye hatapona.

Baada ya masaa machache kufika nyumbani alifariki na wakajulisha watu wa jamiii na wengine wakaandaa mazishi.

Siku ya mazishi walitembea karibu kilometa 2 kwenda kumuzika, Kumar Marewad  alikohoa na kufungua macho na kuanza kutupa miguu na mikono na kupumua kama mtu mwenye kuchoka na njia ya majishi ikabadirika wakarudi hospitalini tena.

Alipo fika hospitalini alisaidia tena na vyombo vya kumusadia kupumua vizuri hadi sasa.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.