kwamamaza 7

Kigali:Wizi unaofanywa na dereva wa pikipiki watia wengi mashakani

0

Walowezi wa mjini Kigali wanalalamikia  dereva wa pikipiki wanaoiba mali zao zikiwemo fedha,simu za mikononi na mifuko mikono hasa wanawake na mengine hata ikiwa usiku au mchana.

Dereva wa pikipiki mjini Kigali

Wamesema kwamba dereva wa pikipiki hawa wanaiba wateja wao na hata wale wanaochapa miguu,mmoja wao, Felicitee Nibakure amesema dereva wa pikipiki alimuiba simu yake ya mikononi na kukimbia alipokuwa akiuuliza bei ya safari,Felicitee amesema”Niliwahi kumpa simu yangu ili asikilize ninapoelekea na kukimbia nayo”.

Tena mwenzake,Gertrude Umulisa amesema kwamba alimpa dereva wa pikipiki noti ya frw 5000 ili kumlipa 400 za safari kasha akaenda bila kumpa 4,600 zilizobaki.Walowezi wanasema kwamba mala nyingi dereva wa pikipiki wanaiba wanawake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Akieleza kuhusu haya,Kiongozi wa shilika la madereva wa pikipiki ‘Twiyubake’ ameweka wazi kuwa wanaofanya maovu haya ni wale ambao hawana vitambulisho na kuwa mala nyingi hufanya kazi usiku ili kujilinda kumkuta polisi.

Pia Polisi inakubali kuwa tabia hizi mbaya za dereva wa pikipiki zimezuka na kueleza kuwa itafanyaka liwezekanalo ili litatuliwe.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.