kwamamaza 7

Kigali:Wanafunzi wa Chuo cha Jomo Kenyatta washangazwa na jibu la halmashauri kuu ya elimu

0

Wanafunzi 300 waliokuwa wakisoma chuo cha Jomo Kenyatta wameshangazwa na uamuzi wa halmashauri kuu ya elimu nchini Rwanda baada ya kuwambia kuwa wataendelea kusomea nchini Kenya ama kutumia intaneti.

Wanafunzi hawa wamesema kuwa uamuzi huu wote hauatawasaidia lolote kwa kuwa si rahisi kupata nauli ya kuenda mjini Nairobi kwa kuwa wengi mwao wanafanya kazi za kila siku.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mmoja wao kwa kutukia sauti yenye sikitiko ameleza kuwa haifai kuambiwa kutumia intaneti kwa katika masomo yao kwa kuwa walichagua kusomea darasani.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Halmashauri kuu ya elimu nchini imeambia wanafunzi hawa kuendelea masomo yao katika vyuo vilivyoko nchini,hoja ambalo wanafunzi wamepiga marufuku kwa kusema kuwa bei ni tofauti.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Taarifa za VOA zimesema kuwa chuo cha Jomo Kenyatta kimeisha funga mlango baada ya kupatiwa miezi mitatu ya kutimiza mahitaji ya elimu bora,jambo lilichokishinda kutimiza.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.