kwamamaza 7

Kigali:Wakazi wa karibu shimo la taka Nduba waitaka serikali kuwahamisha

0

Wakazi wanaoishi karibu na shimo la taka eneo la Nduba,mjini Kigali wameitaka serikali kuwahamisha mahali pengine kwa kuwa maisha yao yamo hatarini kutokana  uchafu na mnuko kutoka shimo hilo.

Wakazi hawa wametangazia Isango Star kuwa walisha kuwa tayari kuhama mahali pengine lakini hawajui lini serikali itawalipa fedha zao ili waondoke zao.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kiongozi makamu wa mjini Kigali kwa wajibu wa mambo ya kijamii,Patricie Umuhongerwa ametangaza kuwa wakazi hawa watahamishwa pole pole na kuwa hakuna mpango wa kuhamisha shimo la taka hili pahali pengine.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Mala nyingi wakazi walisikika wakilalamikia uchafu kutoka shimo hili ila viongozi mwezi Meyi 2017 walitangaza kuwa kuna frw biliyoni 11 zitakazotumiwa kujenga shimo la taka la kisasa mahali pengine mjini Kigali.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook n

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.