Swahili
Home » Kigali:Mwanamke ashtakiwa kumteka nyara mtoto wa miaka miwili
HABARI

Kigali:Mwanamke ashtakiwa kumteka nyara mtoto wa miaka miwili

Mwanamke wa miaka 23 amekamatwa eneo la Mageragere kwa kumtkeka nyara mtoto wa mwenzake mwenye umri wa miaka miwili.

Mzazi wa mtoto huyu,Charlotte Mukarukundo  ameleza kuwa alikosa mwanawe alipokuwa usingizini kisha akawaita majirani na polisi ili wamsaidie.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa polisi mjini Kigali,Supt.Hitayezu amesema kuwa mwanamke huyu wamemkuta alikojificha katika nyumba kukuu akiwa na mtoto huyu mikononi.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Uhalifu wa kuteka nyara unadhibiwa kulingana na makala 224 ya sheria za kuadhibu za Rwanda.Upelelezi unaendelea kwa kujua nini kilichomsababisha mtuhumiwa kuteka nyara mtoto huyu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com