Swahili
HABARI MPYA

Kigali:Mwanamke alitoka Norway akija kusherekea arusi akashutumiwa Jenoside

[xyz-ihs snippet=”google”]

Julienne Sebagabo alitiwa mbaroni wiki hii akijaribu kurejea Norway kwa kuwa ana utaifa wa huko. Hapo ni baada ya watu waliomuona kwenye sherehe na wakaanza kusema ya kuwa wanamufahamu kuhusika na mauaji ya kimbari dhidi ya watusi kwao katika wilaya ya Gisagara.

Julienne Sebagabo ni mwenye ukoo wa Nyaruhungeri, kata ya Nyange, kiini ya Kigarama, kwa sasa ni wilaya ya Gisagara. Mahakama ya Gacaca ilimuhukumu kifungo ya miaka 19 ijapokuwa yeye hakuwepo wakati wa mahakama.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Walio muona Sebagabo Julienne walijulisha ngazi za usalama na walimkamata akijiandaa kurudi Norway, alikua amekuja kwenye sherehe ya arusi ya ndugu yake mdogo na taarifa husema kua Alhamisi alifikishwa mahakamani.

Mke huyu ambaye anafungiwa Kigali anashutumiwa kuhusika na mauaji ya Kimbari dhidi ya watusi. Pia taarifa husema kua alikamatwa akielekeza uwanja wa ndege ili arudiye Oslo nchini Norway anapoishi.

Chief Supertendent of Police Lynder Nkuranga msemaji wa polisi ya Rwanda amesema kuwa mwanamke huyo alikamatwa wiki hii na hasa anafuatiliwa na mahakama kama vile husema umuseke.

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com