kwamamaza 7

Kigali:Mwanamke alaani tuhuma za kufanya ngono na waziri wa miundo mbinu

0

Mwanamke Immaculee Kayitesi amekanusha tuhuma zilizosambazwa na Rtd Capt. Safari Patrick Kazindu za kuwa alikuwa akifanya ngono na waziri wa miundo mbinu wa Rwanda, James Musoni.

Huyu mwanamke amekubali kuwa alifunga ndoa na Safari Patrick mwaka 2010 lakini akamuacha nyumbani mwaka 2012 baada ya kuficha kuwa aliwahi kuwa mwanajeshi na kuwa alikuwa na watoto wa nne.

“Ninalaani uongo wa Safari Patrick anayetaka kuharibu ndoa yangu baada ya kuinacha mwaka 2012”

Huyu mwanamke ametangazia Ingenzinyayo kuwa mbali na kumdanganya  alikabiliana na vikwazo kadhaa kwa kuwa Safari alikuwa anamzidi umri.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Alikuwa akinizidi umri ila hili halikuwa jambo la kujali kwa kuwa lengo lake lilikuwa kuwa na ndoa ya kudumu”

Pia Kayitesi amefichua kuwa Safari alishindwa kutimiza wajibu wake kwa kuwa alikuwa na wanawake wengi.

“Alikuwa na wanawake wengi kwa hiyo aliniacha na kuenda kukodi huko Kabeza”

[xyz-ihs snippet=”google”]

Haya ni baada ya Safari Patrick kuonekana kwenye vichwa vya vyombo vya habari nchini Rwanda akisema kwamba mke wake alimfukuza nyumbani kwake juu ya uhusiano kati yake na waziri James Musoni.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.