kwamamaza 7

Kigali:Mawaziri watano kuitika bungeni

0

Mabunge wamewataka mawaziri watano kuitika bungeni miezi miwili iajyo  ili kueleza mapana marefu kuhusu hali ya mambo mbalimbali waliyogundua mabunge wakati wa ziara za kikazi zao nchini kote.

Taarifa za Umuryango ni kwamba mawaziri watakaoitika  ni Waziri wa mambo ya miundo mbinu,Amb.Gatete Claver,Waziri wa afya,Diane Gashumba,Waziri wa Utawala wa ndani ,Francis Kaboneka na Waziri wa Maendeleo ya familia na Usawa wa Jinsia,Esperance Nyirasafari.

[xyz-ihs snippet=”google”]

“Masuala haya yanahitaji ufuatiliaji kwani yanazuia maendeleo ya wakazi.Tunafikiri kuwa yatatolewa suluhisho miezi sita ijayo”amesema Makamu Mkurugenzi wa bunge, Jeanne d’Arc Uwimanimpaye

“Hawa mawaziri wanastahili kutueleza walichofanya kuhus haya mambo”ameongeza

[xyz-ihs snippet=”google”]

Hili ni baada ya ziara za kikazi za mabunge wilayani nchi nzima kugundua kwamba masuala ya uhaba wa maji safi,uchafu,mimba kwa vijana na mengine yanakumba wakazi.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

[xyz-ihs snippet=”google”]

 

 

 

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.