kwamamaza 7

Kigali:Mabishano kati ya uongozi na wendesha basikeli

0

Wendesha basikeli wenye kuwa na kituo Nyabugogo katika tarafa ya Kimisagara husema kwamba wanaombwa pesa nyingi ya garama wakati wanapatikana katika makosa ijapo kuwa hawaoni dalili za kuwaongoza barabarani ao kupaki.

Wakati wanakutwa katika makosa huwaomba pesa elfu kumi (10.000frw) na wanasema pesa hizo kuwa nyingi kwa sababu ndizo ambazo wanatumikia katika huduma zao.

Hata kama wanaombwa pesa nyingi wanasema kuwa kuna wakati wanakamatwa na hawafahamu kwamba wako na makosa kwa sababu hakuna nafasi ambapo kuna dalili za kuwakataza kitu fulani.

Viongozi wa makundi ya wendesha basikeli wao wanahitaji kuongea na uongozi wa tarafa ili wao wenyewe wabaki na majukumu ya kuwakamata wanao kosea katika barabara na kuwaazibu.

Kiongozi wa tarafa ya Kimisagara yeye husema kwamba hawakukataza wendesha basikeli kuwatwaa watu ila walikatwazwa kusimama nafasi isiyo kubaliwa kwa ajili ya usalama.

Kwa jambo la pesa wanazo ombwa kama garama ni makubalianao na ngazi zinazo husika katika wilaya kuhusu wanao fanya huduma zao katika hali zagara zagara.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kawaida wendesha basikeli walikuwa walikataziwa kuendesha barabarani wakati wa kale, ila karuhusiwa na kuomba kujinyenyekeza wakati wa kuendesha ili wasivamie magari na pikipiki.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.