kwamamaza 7

Kigali:Askari jeshi walio ua mtu kwa risasi wamekamatwa

0

Hapo ni baada ya raia ajulikanaye kwa jina la Ntivuguruzwa Ivan kupigwa risasi na akafariki katika kiini cha Rwampara, tarafa ya Kigarama, hivi sasa askari jeshi wanao shutumiwa wametiwa mbaroni.

Msemaji wa jeshi la Rwanda, Lt Col René Ngendahimana, alisema kuwa askari jeshi wawili ambao walikuwa kwenye ulinzi sehemu hio wametiwa mbaroni na upelelezi ukiendelea.

Taarifa husema kwamba yule aliye pigwa rufaya ya risasi alikuwa amejadiliana na kubishana na askali jeshi kati ya wale wawili, kiisha askari mwengine akaja kutoa msaada na ndipo wakamufyetuwa masasi.

Wamoja husema kuwa Ntivuguruzwa alikwenda kulipisha pesa katika bare, wengine husema alipigwa risasi wakati alikuta askari akiongeya na mke wake ila hakuna uhakikisho.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Msemaji wa jeshi la Rwanda, Lt Col Rene Ngendahimana, alisema kuwa ngazi ya jeshi huuzunika kwa ajili ya kifo hicho na wanafariji jamii ambao imepoteza mtu wao.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Leki/bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.