Swahili
Home » Kigali:Aliyemuua mke wake kwa kumpiga nyundo asimama kizimbani
HABARI MPYA

Kigali:Aliyemuua mke wake kwa kumpiga nyundo asimama kizimbani

Mwanaume Alfred Karegeya ambaye alimuua mke wake Rose Mukeshimana kwa kumpiga nyundo na kumzika nyumbani tarehe 9 Machi 2018 amesimama kizimbani.

Mshitakiwa amekubali mashtaka yote ya kumuua mkewe huko enoe la Nyabisindu mjini Kigali.

Karegeya amelezea Mahakama kuu ya Nyarugenge  kuwa alimuua mkewe kwa kuwa alikuwa alimdharau kwa kumtukana sana hadi alipowatukana wanafamilia yake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Huyu ameeleza kwamba haya ndiyo yaliyomfanya kumpiga marehemu alipokuwa usingizini na kuzika shimoni kisha akapanda mboga.

Mwendeshamashtaka ameomba mahakama kutoa hukumu ya kufungwa jela,jambo mshitakiwa ameeleza kwamba hana lolote la kulikanusha.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song updates

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com