kwamamaza 7

Kigali: Watu wanne wafariki na majeruhi 3 katika ajali ya gari

0

Jana tarehe 30 Oktoba 2016, ajali ya gari kuwagonga wapekuaji wilayani Gasabo katika sehemu ya Kabuga iliwauwa watu wanne ambao walikuwa wanasimama karibu na barabara na wengine watatu wajeruhiwa.

Taarifa husema kwamba gari la aina ya Jeep lilikua linatoka sehemu ya Rwamagana likielekea Kigali na ndipo likawagonga watoto tano ambao waliku wakisimama kando ya barabara na wanne kati yawo wakafariki kwa gafla.

[ad id=”72″]

Watu walikuwepo husema kwamba Gari hilo lenye nambari RAB 447 T ilikua kwenye kasi kubwa sana ijapo kuwa bado serikari kusema sababu ya ajali hiyo, na ndani ya gari hiyo palikuwemo watu 6, na wawili kati yao wamejeruhiwa vikali sna.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.