Swahili
Home » Kigali: Watangazaji wakataliwa kuongea na Diamond
BURURUDANI

Kigali: Watangazaji wakataliwa kuongea na Diamond

Diamond baada ya kutua uwanja wa ndege wa Kanombe mjini Kigali/Picha:Emmy Nsengiyumva

Watangazaji wamekataliwa kuongea na msanii bingwa barani Afrika kutoka nchini Tanzania,Diamond Platinumz.

Diamond ametua uwanja wa ndege Kanombe asubuhu hii baada ya kutangaza kupitia instagram kwamba anataka kununua nyumba mjini Kigali.Hata hivyo,Diamond hakuleleza lolote kuhusu safari yake nchini Rwanda kwa kuwa amepelekwa punde si punde hotelini ili kupumzika.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Kuna taarifa kwamba Diamond atashiriki kwenye tamasha hotelini Kigali Convention Center mjini Kigali leo .

Inatarajia kwamba Diamond atawatembelea watoto wenye ulemavu wa kuangalia wa Jordan Foundation.

Hii ni mala ya kwanza Diamond kurejea nchini Rwanda mwaka huu.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Izindi wakunda

Tanga Igitekerezo

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.

Bwiza.com