kwamamaza 7

Kigali: Wanaofanya ukahaba 55% ni wenye ukimwi

0

[ad id=”72″]

Uaziri wa afia wasema kwamba katika mji wa Kigali wanao fanya kazi ya ukahaba wapatao 55% wapo na ukimwi, na hasa imeamuriwa kuwa wakipata dawa ya kupunguza ukali wa ukimwi kwa muda wa miezi tatu pahali pa mwezi moja na hiyo kwa ajili ya kupambana na ugonjwa huo ambao huhangaikisha ulimwengu.

Hayo yametangazwa jana tarehe 1 disemba, siku kimataifa kwa ajili ya kupambana na ukimwi. Dr. Patrick Ndimubanzi, katibu wa serikali katika uwazili wa afia ametangaza hayo wakati akisema kwamba watu ambao wapo na ukimwi huongezeka kwa hali ya juu, na ndipo kasema katika mji wa Kigali kwa wenye kufanya kazi ya umalaya wapatao 55% wapo na ukimwi.

[ad id=”72″]

Dr. Patrick Ndimubanzi eti “kila mwaka watu maelfu waambukizwa ukimwi na kuna watu ambao hawana elimu kuhusu jinsi ukimwi huambukizwa, kufanya kitendo cha zina kwa kutumia kondom ingali chini sana”.

Rwanda watu wapatao elfu  160,004 wanakamata dawa ipunguzao ukali wa ukimwi, ulimwenguni wapatao miliyoni 36 wapo na ukimwi na kila mwaka wapatao miliyoni 1 hufariki na ugonjwa wa ukimwi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.