kwamamaza 7

Kigali: Wafungwa wafanya linalohusishwa na maandamano

0

Wafungwa wa Gereza ya Mageragere Mjini Kigali wamefanya jambo linalohusishwa na maandamano.

Imeripotiwa wafungwa walipiga marufuku Mkurugenzi mpya wa Gereza, Kayumba ambaye wamesema ni hodari kwa mambo ya kuwatesa wafungwa.

Viongozi wa Ofisi ya Magereza nchini (RCS) wamesema si maandamano kama ilivyoripotiwa baali ni suala la usalama ambako wafungwa walifanya mgomo wa sheria za gereza.

Wamesema kumekamatwa waliohusika na jambo hilo.

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.