Leo tarehe 20 Januari 2017, kwenye kikao cha polisi ya Rwanda Kacyiru, polisi imerudishia wamiliki vifaa vyao vilivyo ibwa, pakiwemo Kompyuta 12, televisheni kubwa 18, na zaidi ya simu 10 za mkononi.

Ofisa wa polisi Hitayezu ameonya wizi na kuwaambia kuwa si vyepesi kuiba na kuenda bila kukamatwa ku kuwa polisi ya rwanda haisinzie, inaomba wakaaji kutoa taarifa mapema ili kupambana na vitendo hivyo vibovu.

Hitayezu alisema kuwa usamani wa vifaa ni kuwa vilinunuliwa madukani na anashukuru wahusika kwa kuwa na uwasiliano na polisiĀ  kwa ajili ya usalama.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Leki@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina