Chance Hitamoyesu na nduguye wa kike, Soleil Kiberinka wanaishi nje  kwa wiki mbili baada ya nyumba yao kubomolewa na viongozi Wilayani Kicukiro, Mjini Kigali.

Mama mzazi wao, Ancilla Mukayisenga ni mfungwa na mjomba wao aliyojenga nyumba hiyo, alifariki ukimbizini nchini Ufaransa.

Nyumba hiyo kama wanavyoeleeza, ilibomolewa juu ya ugombi wa ardhi inayokuwemo.

“ Tumekaa hapa wiki mbili bila viongozi kutujali.”

Nyumba yao iliyobomolewa

Viongozi wamesema wanatatua suala hilo kuhusu uwenyeji wa ardhi hiyo.

 

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.