Panapo julikana kwa jina la Kiyovu mjini Kigali, mwanamke alidanganywa na mume kuwa hana mke, na mke mwenyeji wa unyumba alipo jua hayo alimupiga hata glasi zake kapasuka na ndipo kelele kuanza hapo.

Hapo ni katika kijiji cha Rugenge, kiini cha Rugenge, tarafa ya Muhima, panapo julikana kama Kiyovu. Hayo yalipitika karibu saa nne za usiku wakati mume wa uraia wa Uganda alipotongoza mke ambaye aliachana na mume mwengine akimwambia kwamba yeye haishi pamoja na mke.

Taarifa husema kuwa walipo kuwa chumbani katika tendo la ngono, jirani alikwenda kumuita mama mwenyeji wa unyumba nafasi anafanya biashara na ndipo akaharikisha mbio.

Alipo fika nyumbani aliwakuta wakiwa chumbani katika tendo kamili na ndipo akavamia mke mwenzake na kubomoa glasi zake yule mzinifu, ila mume kawaachanisha.

Baada ya hapo iliendeka aje?

Mke huo mzinifu hakuvumilia glasi zake kukosekana, hapo mapenda alikwenda kwa wahusika na usalama kwenda kumulipishia glasi zake kwa sababu yeye husema kwamba alipigwa akiwa njiani hakua akizini.

Wahusika usalama walipo chunguza, majirani wakawaambia kuwa alipigwa wakati alikuwa akizini na mume asiye kuwa wake.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Waendelea na kusema kuwa yeye anaendelea na kukana kuwa alikuwa akizini, taarifa husema pia kuwa mume huyo alimukubalia kulipa glasi hizo ingawa watu husema kuwa hana uwezo na kulipa kipesa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.