kwamamaza 7

Kigali: Mgonjwa wa ukimwi ajiua akihofia kifo cha ukimwi

0

Mushimiyimana Innocent mwenye umri wa miaka 40 alipatikana amejiua jana asubuhi, akihofia kuuawa na ukimwi baada ya kushinda siku kadhaa bila kuchukua dawa za kupunguza kuongezeka kwa virusi vya ukimwi.

Kifo chake kilipatikana mahali anapoishi Kigali, wilayani Gasabo katika kata ya Kinyinya; na uongozi umekemea tukio hili.

Kiongozi wa kata ya Kinyinya, Umuhoza Rwabukumba alisema kwamba marehemu Innocent; juzi alikaa pamoja na mama yake wakaongea kisha akamuaga kama anaenda kulala baada wakamgundua ameishajiua kwa kutumia kamba.

[ad id=”72″]

Majirani wa marehemu husema kuwa ijapokuwa leti Mushimiyimana Innocent alikuwa na ugonjwa, pia alikuwa angali na nguvu na hivi hakuishi na mke au mtoto.

Nchini Rwanda, sera za umma katika mapambano dhidi ya ugonjwa wa Ukimwi inaonekana kuzaa matunda, kulingana na takwimu zinazotolewa na serikali ya nchi. Miongoni mwa hatua zilizotekelezwa, usambazaji wa kondomu za bure katika vibanda mbalimbali; na watu wanakuja kuchukua kondomu hizo ili kijikinga.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.