kwamamaza 7

Kigali: Mahakama yaahirisha kesi ya mwanajeshi aliyemuua mtoto

0

Mahakama ya kijeshi ya Nyamirambo imeahirisha kusikia kesi ya Major Dkt Rugomwa Aimable na mwenzake Nsanzimfura Mamerito wanaedaiwa pamoja katika kifo cha Mbarushimana Theogene, aliyefariki kwa ajili ya kupigwa.

Katika mahakama yaliyopita, Maj Rugomwa Aimable alikataa kumuua Theogene kwa utashi wake badala ilikuwa kujikomboa kwani alikuwa (Mbarushimana Theogene) kama jambazi aliyemwingilia.

Watuhumiwa walihukumiwa kifungo cha siku thelathini ili kuendeleza uchunguzi.

[ad id=”72″]

Leo jumatano, 9 Novemba 2016; watuhumiwa wangeendelea na kesi. Major Rugomwa amepatikana mahakamani pekee bila wanasheria na mhutumiwa mwenzake Nsanzimfura aliyekosekana kwa ajili ya ugonjwa na kesi itaendelea tarehe 20 Disemba 2016.

Mbarushimana Theogene aliuawa Septemba 9, 2016 kijijini Ubumwe; katani Kanombe katika wilaya ya Kicukiro baada ya kupigwa kinyama na mwanajeshi pia dakitari Rugomwa Aimable.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Theogene u @Bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.