kwamamaza 7

Kigali: Koffi Olomide amkumbuka mshabiki wake aliyeuawa Convention Centre

0

Msani Koffi Olomide, kwenye tamasha aliyoifanya Kigali tarehe 31 Disemba 20116 alimkumbuka kwanza mshabiki wake  Nzamwita Ntabwoba Toy, aliyefariki kabla ya masaa macheke wakipichwa pamoja.

Nzamwita, alikuwa mfanya kazi wa kuwasaidi watu kwenye mastaka wakati wa mahakama (loyer) alifariki tarehe 29 Disemba 2016 akipigwa lisasi na mwanapolisi kwenye malango ya Kigali Convention Centre.

Polisi husema kwamba alikua akiendesha gari ya aina ya Toyota Land Cruiser, akiwa mlevi akiendesha haraka sana akamuvamia polisi mwenye kuwa kwa msaako.

[ad id=”72″]

Polisi katoa taarifa na kusema kwamba wanapolisi walipo kuwa msakoni walisimamisha Nzamwita ila yeye hakupenda kusimma akakaza mwendo, kwa bahati mbaya walipo piga motogari lisasi naye kashikwa na lisasi hilo na ndipo kafariki dunia.

Kifo cha Nzamwita kilimhuzunisha msanii Koffi kama vile amerudiria kwenye tamasha aliyofanya Kigali Convention Centre kwa kumalizia mwaka.

Katika tamasha, Koffi amezungumzia kifo hicho ndipo kawaomba muda mdogo wa kumukumbuka mshabiki wake Toy. Mbele ya hayo aliomba pawe ukimya na vyuma vyote vya muziki kuachwa.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

[ad id=”72″]

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.