kwamamaza 7

Kigali: Katika siku 10 watoto 3 wamefariki kupitia njia ya kuzama

0

Kama vile husema musemaji wa polisi Kigali SP Emmanuel Hitayezu, watoto tatu wamefariki wakitumbukia ndani ya maji sehemu tofauti katika mji waKigali, moja ambaye alikua na miaka 3 katika kata ya Kimironko, wengine wawili ni raia wa kata ya Gisozi na Gatsata ambao walizama katika mto ujulikano kwa jina la Nyabugogo.

SP Hitayezu eti “mara nyingi maji hayo hupatikana nafasi ambapo palichimbuliwa mawe ama muchanga na anaomba kuzima hivyo visimu ao kufunika kwa sababu huleta hatari kwa familia, pia kuzuia watoto kwenda mahali hapo”.

[ad id=”72″]

Polisi ya Rwanda husema kwamba kwa miaka mbili nenda watu karibu 100 wamefariki kupitia njia ya kuzama, wapatao 63 ni wenye umri chini ya miaka 18, na wenye kuwa wakubwa ni 35 wakiwa na miaka kati ya 18 na 35.

Polisi huendelea na kusema kwamba mara nyingi watoto huzama wakati wa likizo na kukosa la kufanya, watu wazima wazama wakati wamelewa pombe na wengine wanao zama ni waloaji wa samaki na wengine watu abao wazania kujua kuogelea maji wakikamata mwendo mrefu wakitafuta kuvuka ngambo.

[ad id=”72″]

Polisi ya Rwanda inashauria vijana wenye kuwa likizoni na watu wakubwa kujilinda ajali yoyote ambao huweza kuwazamisha kwa nyakati hizi za mvua nyingi.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.