kwamamaza 7

Kigali: Kabla ya miaka tatu gerezani wameomba kuachiliwa huru

0

Jean Baptiste Mugimba na Jean Claude Iyamuremye ambao wamefikishwa Rwanda wakitoka Uholanzi jana ndipo walifikishwa mahakamani Nyarugunga ili kufungwa ama kufunguliwa kwa muda.

Mugimba Jean Baptiste mwenye umri wa miaka 57, wakati wa mauaji ya kimbari alikua akifanya kazi katika benki kuu ya Rwanda na alikuwa katibu mkuu wa CDR.

Mahakama imesema kwamba tarehe 8 Aprili, Mugimba alifanyisha mkutano akiwa pamoja na Nyirimanzi Gregoire aliyekuwa kiongozi wa kata ya Nyakabanda na walifanya orodha ya watusi ambao wangeliuawa na baada ya mkutano Ndungutse Jean Bosco alikua mfanya kazi pamoja naye na jirani yake aliyekuwa kwenye orodha, na husemwa kwamba ndie alimuua. Mahakama imemuombea kufungwa siku thelathini kwa muda kama vile husema igihe.

[ad id=”72″]

Mugimba amekana na kusema kwamba yeye pia anahuzunika kwa yale maovu yaliyofanyika nchini Rwanda anayoyipenda wakati wa mauaji ya kimbari, na akasema yeyote aliyehusika sharti ahukumiwe na kusema kwamba na wale ambao wanawasingizia wengine kuyafanya maovu nao waperekwe mahakamani.

Amesema kuwa hata yeye yale ambayo anashutumiwa ni uongo, asema kwamba watu waliketi na kuufanya mpango na kuunga makosa kwa ajili yake ili wapate kumusingizia.

Iyamuremye Jean Claude anayejulikana kwa jina la Nzinga yeye amesema kwamba washuhuda walitumikishwa kwa yale walioyasema, kwani kati ya watoa ushuhuda mmoja amesema kwamba Iyamuremye alimuua hata mjomba wake.

[ad id=”72″]

Hata kama Iyamuremye ameyakana makosa yake, mahakama imesema kwamba aliwayi kushika gari na kuwapakiza watutsi akisema kwamba anawaepusha na kuwakimbiza, ila aliwapeleka palipojulikana kama ETO na huko ndipo aliwaua.

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter 

Leki@bwiza.com

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.