Tangazo lililo sainiwa na uongozii wa mji wa Kigali ni kwa ajili ya wasafiri wano tumia gari za umma zinazo toka ao kwenda na kutumia barabara KG 7Ave, haziruhusiwe tena kutumia njia hio.

Mabadiliko ni hayo watakayo fuata, wata kuwa wakitumia barabara ya Kubaho Plazza-King Faisal Hospital-Rwanda housing Authority-RTDA-MINAGRI-Uganda Embassy-Kacyiru Terminal.

Kwa marefu marefu tangazo ndio hilo chini.

urasi1

[xyz-ihs snippet=”google”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina