Home HABARI MPYA KIGALI: CLADHO yaomba unyenyekevu kwa kutatua tatizo la wauzaji marufuku
HABARI MPYA - SIASA - August 28, 2017

KIGALI: CLADHO yaomba unyenyekevu kwa kutatua tatizo la wauzaji marufuku

Muungano wa mashirika ya haki za kibinadamu nchini Rwanda,CLADHO waomba serikali kutia unyenyekevu kwa kutatua tatizo la wauzaji marufuku.Ni baada ya mji wa Kigali kuweka wazi kuwa askari polisi na wanajeshi watatoa mchango ili kukomesha hawa wauzaji.

Kiongozi wa CLADHO, Jean Leonard Sekanyange 

Kwa hiyo,CLADHO kupitia mkutano wa 25 Agosti 2017 imeomba pande zote mbili yafuatayo:

Wauzaji marufuku kutopambana na askari polisi ili kulinda haki za binadamu,kwa upande mwingine mji wa Kigali kutotumia nguvu kwa kufukuza wauzaji marufuku ili kujilinda ukiukaji wa haki za kibinadamu wowote.

[xyz-ihs snippet=”google”]

Pamoja na haya,Akizungumza na Bwiza .com kiongozi wa CLADHO,Jean Leonard Sekanyange ameleza kuwa haina budi mahojiano kati ya serikali na wale wauzaji wa barabarani kwa kusema”Ni lazima kuzungumza,ni  watu wengi,kuwafukuza bila kazi kutasababisha matatizo mengine ”.

Bonyeza hapa kupata habari za hivi karibuni kwenye facebook na twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.