Tarehe 18 Januari 2017 ndipo uongozi wa mji wa Kigari katoa tena sheria kuwa chingazi na wateja wao wote wataazibiwa vikali, wakaaji wamoja hawaelewe hayo kwa kua katika nchi nyingi wachingazi barabarai hupewa matabishi, mfano katika nchi ya Singapore mfanya biashara barabarani alipewa matabishi na kampuni ya Michelin Star.

Sheria hio ilitiwa muhuri mwaka wa 2015, ikisema yeyote atakaye fanya uchingazi na yule atakaye nunua wakikamatwa watapana garama ya 10.000 faranga ya Rwanda , kwa hivyo itatiwa katika vitendo tangu tarehe 18 Januari 2017.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Kwa uchunguzi na utafiti, watu husema kua chingazi hawakukataa kwenda kufanya biashara sokoni kama vile ilivyo andaliwa, ila waliandikwa na kwa mwisho wake wa DASSO na viongozi wengine ndio kapewa fasi za wachingazi sokoni.

Matukia ya kufukuza wachingazi ni nyingi, wamoja watakuwa wizi, wengine makahaba na kazalika.

Uchingazi si kazi haramu

Biashara hii hufanywa katika nchi nyingi, ila serikali haipane mwelekezo ulio bora ili chingazi wote watii sheria hio, hata nchi zifuatazo chingazi hutumika vizuri na maisha yaendelea. India, Senegal, Cote d’Ivoire, Burkina Fasso, Benin na mahali pengine. Hao wote hufanya biashara yao barabarani kwa ukawaida.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

Singapore, yeye hupika chakula kando ya barabara na ndiye eliye pata zawadi na kampuni ya  Michelin Star 2016. Ulimwengu nzima chingazi huo wa chakula amejulikana kwa uchingazi wake. Jinalake ni Chan Hon Meng ana umri wa miaka 57, na anafanya kazi masaa 17 kila siku, ananunua kuku kati ya 150 na 180, na wateja wake ni wengi na anauzika kuwa wateja wake hawatosheki.

Ukuta  WIEGO (Women Informal Employment: Globalizing and Organizing), wana lengo ya Empowering Informal Workers, Securing Informal Livelihoods: kuwasaidia wafanya kazi wa chini ndio usalama wa maisha yao. Chingazi wana sehemu kubwa katika uchumi wa ulimwengu. Na utafiti ulionyesha kuwa wachingazi 5 wanasaidia kimaendeleo sehemu wanaoishi.

Wachingazi hufanya kazi nyingi, hupana kazi kwa wengine, hulinda mitogari, wanafanya ulinzi, wanaweka vitu vya wengine vizuri. Wengi wao hupana hata kodi ya serikali.

Chingazi ni muhimu kwa nchi yake, wafanya kazi isio ambatana na ukulima (informal non-agricultural employments). Tazama namna wanavyosaidia miji yao: Lome/Togo: 24%, Cotonou/Benin: 19%, na Dakar/Senegal: 13%. Hanoi/Vietnam: 11%, na Lima/Peru ni 9%. India: 11%, Africa y’epfo: 15%.

Chingazi wa Rwanda wengi ni wanawake hio ni upekee, hata nchi zingine ndio wengi, Ghana 88% ni chingazi wa kike, Africa ya Kusini 68%, Kenya ni 63 %.

[xyz-ihs snippet=”google-pub”]

bonyeza hapa kupokea gazeti juu ya facebook juu ya twitter

@bwiza.com

ACHA JIBU

Tanga igitekerezo
Andika amazina

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.