kwamamaza 7

Kigali: Ashtakiwa kumbaka mwenye ulemavu wa akili

0

Mwanamume, Theoneste, 38 anashtakiwa kumbaka msichana aitwaye Liliane, 18, ambaye ana ulemavu wa akili.

Msemaji wa Ofisi Kuu ya Uendeshamashtaka, Modetse Mbabazi amesema hajajua taarifa hizo.

Hata hivyo, Theoneste ambaye ni mkazi Wilayani Gasabo, amekamatwa ili kufanya upelelezi.

Mkurugenzi wa Shilika la Watu wenye Ulemavu nchini Rwanda (NDCP),  Romalis Niyomugabo ameitaka serikali kumuadhibu kiasi cha juu mtuhumiwa atakapokuwa na hatia.

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.