kwamamaza 7

Kicukiro:Mtuhumiwa wa utekaji nyara ajiua

0

Mtuhumiwa wa kumteka nyara mtoto wa miaka mitano,Emmanuel Karake amejiua alipokuwa gerezani wilayani Kicukiro.

Emmanuel Karake, 23 alimteka nyara  mtoto Arnauld Bruce Niyonziza wili iliyopita Jumamosi mjini Kigali kisha akawaomba wazazi kumpa fedha baadaye akakosekana.

Taarifa za Umuseke ni kwamba maiti ya huyu mtoto ilipatikana wilayani Ngoma na Emmanuel Karake akakamatwa ili kuhojiwa kuhusu jambo hili.

Hata hivyo, Ofisi ya uendeshamashtaka haijafunguka kuhusu hili tukio na mama mzazi wa Bruce Aurelie Nakabonye amesema wapelelezi walimuambia aliyemteka nyara mwanae amejiua.

Huyu mzazi amesisitiza hamjui Emmanuel Karake.

Subscribe to BWIZA TV to get news and song update

click here to receive the updated news on facebook on twitter

Fred Masengesho Rugira/Bwiza.com

 

Leave A Reply

Your email address will not be published.

This site uses Akismet to reduce spam. Learn how your comment data is processed.